1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bundesliga yarejea tena baada ya mapumziko

Josephat Charo
13 Septemba 2019

Ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga, itaendelea kutimua vumbi katika viwanja tofauti. Idhaa ya Kiswahili ya DW tutakutangazia moja kwa moja mechi kati ya Borussia Dortmund na Bayer Leverkusen katika uwanja wa Signal Iduna Park. . Sikiliza mahojiano kati ya Grace Kabogo na Babu Abdalla.

https://p.dw.com/p/3PYb0