Bundesliga kutifua vumbi Ijumaa Agosti 13 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 09.08.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Bundesliga kutifua vumbi Ijumaa Agosti 13

Msimu mpya wa Bundesliga watarajiwa kuanza Ijumaa wiki hii. Nani zaidi kati ya mabingwa Bayern Munich na Borussia Moenchengladbach? Borussia Dortmund na RB Leipzig zaanza vyema mashindano ya kombe la shirikisho DFB Pokal. Eintracht Frankfurt yapigwa kumbo! Na michezo ya Olimpiki yakamilika huku jiji la Paris likianza kujiandaa kwa 2024.

Sikiliza sauti 09:46