Brussels. Mawaziri kuijadili Palestina. | Habari za Ulimwengu | DW | 05.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Brussels. Mawaziri kuijadili Palestina.

Mawaziri wa mambo ya kigeni wa umoja wa Ulaya wanakutana leo kwa mazungumzo yatakayolenga katika juhudi za Wapalestina za kuunda serikali ya umoja wa kitaifa, kufuatia kushindwa kwa duru ya hivi karibuni ya majadiliano baina ya kundi la Fatah na lile la Hamas.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com