Brazil yajiandaa | Mada zote | DW | 25.06.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Brazil yajiandaa

Brazil inajiandaa kwa jukumu kubwa. Kujiandaa kwa Dimba la Kombe la Dunia na Michezo ya Olimpiki katika miaka miwili. Wabrazil wanaisubiri michezo hiyo kwa hamu hata kama mambo hayaendi kwa kasi.