1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Boris Johnson na kamari ya uchaguzi mkuu wa mapema

Iddi Ismail Ssessanga6 Novemba 2019

Hatma ya kuondoka Uingereza katika Umoja wa Ulaya huenda ikaamuliwa katika uchaguzi wa taifa, baada ya waziri mkuu Boris Johnson kupata idhini ya bunge kuitisha uchaguzi huo Desemba 12. Lakini huenda Johnson anacheza kamari kwa matokeo yasiyotabirika? Makala ya Mwangaza wa Ulaya inaangazia hilo. Ungana naye Idd Ssesanga

https://p.dw.com/p/3SZgS