Bonoko-Mtangazaji wa redio | Afrika yasonga mbele | DW | 13.01.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Bonoko-Mtangazaji wa redio

Joseph Kangethe ni mmoja wa watangazaji wa Ghetto Redio. Anatumia vyombo vya habari kupigania haki za vijana wanaoishi kwenye mabanda mjini Nairobi

Tazama vidio 03:19