1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bobi Wine matatani tena

Lubega Emmanuel / MMT24 Februari 2020

Huko Uganda mtu mmoja amekufa kwa kugongwa na gari la polisi waliokuwa wakizuia mkutano wa mwanasiasa wa upinzani Robert Kyagulanyi. Kyagulanyi anayefahamika zaidi kwa jina la usanii la Bobi Wine anaendelea kukabiliwa na ugumu wa kuzindua mikutano yake ya kushauriana na wananchi kuhusu ugombeaji wake wa urais. Hii leo polisi imezuia uzinduzi wa mikutano hiyo. Lubega Emmanuel anatueleza.

https://p.dw.com/p/3YL6Y