1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bobi Wine: Mataifa ya Magharibi hayakuleta demokrasia kwetu

Khelef Mohammed21 Juni 2022

Nyota wa muziki wa kizazi kipya wa Uganda ambaye pia ni kiongozi mkuu wa upinzani, Bobi Wine, yupo mjini Bonn anapohudhuria kongamano la kimataifa la vyombo vya habari linaloandaliwa na Deutsche Welle. Mbali na kutumbuiza washiriki wengine, mwanasiasa na mwanamuziki huyo amezungumza na Mohammed Khelef, aliyemuuliza anajionaje kuwa adui mkubwa wa rais Jenerali Yoweri Museveni.

https://p.dw.com/p/4D1g7