Bingwa wa ndondi aliyerejea Sudan Kusini kutoa mafunzo kwa vijana | Media Center | DW | 03.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Bingwa wa ndondi aliyerejea Sudan Kusini kutoa mafunzo kwa vijana

Puro Okello, bingwa wa zamani wa ngumi za kulipwa raia wa Sudan Kusini, aliyerejea kutoka Canada. Alikimbia vita akiwa na umri wa miaka 14 na kuingia katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma iliyoko Kenya kabla ya kuhamia Canada. Puro alirejea Sudan kusini mwaka 2008 na kuanza kutoa mafunzo kwa wanamasumbwi wachanga. Afrika Yasonga Mbele.

Tazama vidio 03:31
Sasa moja kwa moja
dakika (0)