1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Biashara ya kubadili rangi ya ngozi Afrika

Bruce Amani
17 Agosti 2018

Barani Afrika, biashara ya kubadili rangi ya ngozi imenoga, licha ya kuongezeka kwa vuguvugu la kuonyesha urembo wa asili ya watu weusi. Wanawake na wanaume hununua krimu ambazo hufanya ngozi kuwa angavu

https://p.dw.com/p/33KD7