Besigye: Tuna ushahidi kwamba tulishinda | Matukio ya Afrika | DW | 12.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Besigye: Tuna ushahidi kwamba tulishinda

Kiongozi wa upinzani Uganda, Kizza Besigye, amekutana na wanachama wenzake baada ya kuwa kwenye kifungo cha nyumbani kwa siku 55. Katika mahojiano na DW amesema yeye ndiye mshindi wa uchaguzi mkuu.

Sikiliza sauti 03:06

Msikilize Kizza Besigye katika mahojiano na Emmanuel Lubega

Sauti na Vidio Kuhusu Mada