BERLIN:Bunge la Ujerumani laidhinisha bajeti ya mwaka 2008 | Habari za Ulimwengu | DW | 04.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN:Bunge la Ujerumani laidhinisha bajeti ya mwaka 2008

Bunge la Ujerumani limeidhinisha bajeti ya mwaka 2008 iliyowasilishwa na waziri wa fedha Peer Steinbrück.

Kwa mujibu wa msemaji wa serikali mswaada huo wa bajeti unajumuisha mkopo wa kiasi cha euro billioni 13.

Kiasi hicho ni kidogo kabisa katika bajeti ikilinganishwa na miaka iliyopita. Kulingana na muswaada huo ujerumani imepania kupunguza matumizi yake hadi kusawazisha bajeti ifikiapo mwaka 2011.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com