BERLIN: Mhandisi wa Kijerumani yungali mateka | Habari za Ulimwengu | DW | 05.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN: Mhandisi wa Kijerumani yungali mateka

Licha ya kufanywa majadiliano ya bidii,hakuna maendeleo yaliyopatikana kuhusu mateka waliozuiliwa na Taliban nchini Afghanistan. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani mjini Berlin,amearifu kuwa kamati ya dharura inaendelea na juhudi za kupata uhuru wa mhandisi wa Kijerumani alietekwa nyara Afghanistan.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com