BERLIN: Jung amelaani shambulizi la kujitolea muhanga | Habari za Ulimwengu | DW | 06.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN: Jung amelaani shambulizi la kujitolea muhanga

Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani,Franz Josef Jung amelaani vikali shambulizi la kujitolea muhanga lililofanywa dhidi ya wanajeshi wa Ujerumani kaskazini mwa Afghanistan.

Siku ya Ijumaa,wanajeshi 3 wa Kijerumani na mkalimani wao wa Kiafghanistan walijeruhiwa katika shambulizi hilo,karibu na mji wa Kunduz.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com