BEIRUT: Wanamgambo washambuliwa kambi ya Nahr al-Bared | Habari za Ulimwengu | DW | 09.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BEIRUT: Wanamgambo washambuliwa kambi ya Nahr al-Bared

Nchini Lebanon,vikosi vya serikali vimeshambulia tena vituo vya wanamgambo wa Fatah al-Islam waliojificha katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina ya Nahr-al-Bared.Wanamgambo hao,tangu majuma kadhaa sasa,wanajificha katika kambi hiyo,kaskazini mwa Lebanon.Mashahidi wamesema, kambi hiyo imeshambuliwa na kama maguruneti 20 yaliosababisha moto.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com