BEIRUT: Jeshi laendelea na operesheni ya kuwangóa wanamgambo | Habari za Ulimwengu | DW | 23.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BEIRUT: Jeshi laendelea na operesheni ya kuwangóa wanamgambo

Jeshi la Lebanon limesema,linaendelea na operesheni za kijeshi katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina ya Nahr al-Bared,kaskazini mwa Lebanon.Lengo la operesheni hiyo ni kuwangóa wapiganaji wa kundi la Fatah al-Islam waliobakia katika kambi hiyo.Hapo awali,waziri wa ulinzi wa Lebanon alisema,wanamgambo hao wa Kiislamu waliojificha kambini wameshindwa,na sasa jeshi linashughulika na operesheni ya kuisafisha kambi hiyo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com