BEIJING.Mkutano wa viongozi wa Afrika na China umefunguliwa leo | Habari za Ulimwengu | DW | 03.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BEIJING.Mkutano wa viongozi wa Afrika na China umefunguliwa leo

Jamuhuri ya umma wa China inapanga kutangaza hatua kadhaa za kuimarisha uhusiano wa kibishara na misaada kwa nchi za Afrika.

Hayo yametangazwa wakti mkutano wa viongozi wa bara la Afrika na jamuhuri ya umma wa China ulipofunguliwa leo hii mjini Beijing.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com