Beijing. Mazingira mada kuu katika mkutano na kati ya Wajerumani na Wachina. | Habari za Ulimwengu | DW | 08.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Beijing. Mazingira mada kuu katika mkutano na kati ya Wajerumani na Wachina.

Ujerumani na China zimefikia makubaliano ya kufanyakazi kwa pamoja zaidi kuhusu masuala ya mazingira.
Waziri wa mazingira wa Ujerumani Sigmar Gabriel alisema hayo wakati wa ziara ya siku mbili mjini Beijing.
Katika nusu ya pili ya mwaka 2007 , wawakilishi kutoka wizara husika nchini Ujerumani na China pamoja na mashirika husika duniani wataaza mazungumzo kuhusu uchafuzi wa mazingira, matumizi ya kemikali na usafi wa maji.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com