1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern Munich yaibuka kidedea katika mechi ya der Klassiker

3 Aprili 2023

Bayern Munich yaibuka kidedea katika mechi ya der Klassiker na kufungua mwanya wa alama mbili kileleni kati yao na Borussia Dortmund. Bayern ilifaidika kwa makosa ya mlinda mlango wa Dortmund Gregor Kobel aliyerejea uwanjani baada ya jeraha la muda mrefu kabla ya Thomas Müller na Kingsley Coman kufunga mabao mengine.

https://p.dw.com/p/4PeSD