1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern kuumana na Dortmund "Der Klassiker"

Josephat Charo
29 Novemba 2021

Mabingwa watetezi Bayern Munich kukwaana na Borussia Dortmund katika pambano kali la Der Klassiker, huku Erling Haaland akiweka rekodi mpya katika Bundesliga. Kibarua cha kocha wa Hertha Berlin Pal Dardai chaota mbawa. Wekundu wa msimbazi Simba wapiga hatua michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.

https://p.dw.com/p/43clT