1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern kukipiga na Kopenhagen ligi ya mabingwa

Josephat Charo
3 Oktoba 2023

Bayern Munich wana miadi ugenini na FC Kopenhagen katika pambano la ligi ya mabingwa barani Ulaya, Champions, huku Union Berlin ikiialika klabu ya Bragga nyumbani. Jumatano, Borussia Dortmund itakuwa mwenyeji wa Milan, huku RB Leipzig ikiwa na kibarua kigumu dhidi ya Manchester City nyumbani Red Bull Arena. Zainab Aziz anazungumza na Josephat Charo katika danadana za Champions.

https://p.dw.com/p/4X4k3