Baskeli yafikisha miaka 200: Karne mbili ya waendesha baskeli | Mada zote | DW | 12.06.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Baskeli yafikisha miaka 200: Karne mbili ya waendesha baskeli

Baskeli ilianza wakati mvumbuzi wake Karl Drais alipojaribu kutengeneza gari za mwanzo kwa mara ya kwanza miaka 200 iliyopita. Chombo hicho cha matairi mawili kimechukua sura nyingi tangu mwaka 1817.