Baraza la Seneti Marekani lapitisha mswada wa kupunguza kodi | Anza | DW | 20.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Baraza la Seneti Marekani lapitisha mswada wa kupunguza kodi

Baraza la Seneti la Marekani lapitisha mswada wa sheria wa kupunguza kodi unaopingwa na Wademocrats. Saudia Arabi yadai kuzuia roketi lililorushwa na waasi wa kundi la Houthi. Na Cyril Ramaphosa atarajiwa kuhutubia kwa mara ya kwanza kama kiongozi wa chama tawala cha Afrika Kuisni - ANC.

Tazama vidio 01:36
Sasa moja kwa moja
dakika (0)