Baraza jipya la Uhispania laapishwa likiwa na wanawake wengi | Media Center | DW | 07.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Baraza jipya la Uhispania laapishwa likiwa na wanawake wengi

Baraza jipya la mawaziri la Uhispania, ambalo asilimia 65 ya mawaziri wake ni wanawake, limekula kiapo mjini Madrid leo Alhamis. Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo Pedro Sanchez, amesema linawakilisha kilicho bora kabisa katika jamii ya nchi hiyo. Kiapo hicho kimechukuliwa mbele ya mfalme wa nchi hiyo, Felipe VI.

Tazama vidio 01:02
Sasa moja kwa moja
dakika (0)