1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bangili ya ukeni kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi

Thelma Mwadzaya / MMT12 Aprili 2021

Baada ya miaka mitatu ya utafiti sasa wataalam wamefanikiwa kuvumbua bangili maalum ya dawa inayomlinda mwanamke na kuupunguza uwezekano wa kuambukizwa virusi vya HIV vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi. Makala ya Afya Yako inaangazia utafiti huo ulifanyika Ubelgiji, Malawi,Afrika kusini,Tanzania,Uganda, Marekani, Zimbabwe na Kenya.

https://p.dw.com/p/3rixA