1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bajeti Afrika Mashariki: Raia wa kawaida ataguswa vipi?

Grace Kabogo
11 Juni 2020

Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Alhamis hii yanawasilisha bungeni miswada ya bajeti kwa mwaka 2020/2021. Dokta Alban Marcus ni mchambuzi wa masuala ya kiuchumi na amefanya tathmini juu ya jinsi bajeti hizo zitagusa maisha ya raia na iwapo ushiriki wa mwananchi wa kawaida unaonekana.

https://p.dw.com/p/3dd3O