Baiskeli zaleta matumaini | Media Center | DW | 28.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Baiskeli zaleta matumaini

Waendesha baiskeli katika timu ya Afrika ya waendesha baiskeli wote wanaupenda mchezo huu baada ya kuikimbia Ethiopia. Mchezo huu unawapa motisha wa kutaka kufika mbali zadi licha ya matatizo mengi wanayopitia kama wakimbizi.

Tazama vidio 01:12
Sasa moja kwa moja
dakika (0)