BAGHDAD:Waziri wa Ufaransa Kouchner ziarani Irak | Habari za Ulimwengu | DW | 20.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAGHDAD:Waziri wa Ufaransa Kouchner ziarani Irak

Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa bwana Bernard Kouchner yupo nchini Irak ambapo anafanya ziara ya kwanza ya kiongozi wa ngazi za juu kutoka Ufaransa tokea Irak ivamiwe na majeshi ya nje yaliyoongozwa na Marekani miaka 5 iliyopita.

Baada ya mazungumzo na wenyeji wake waziri Kouchner amesema kuwa ni suluhisho la kisiasa tu, litakalokomesha mauaji nchini Irak.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com