BAGHDAD:Iran kuhudhuria mkutano wa kimataifa juu ya usalama wa Irak | Habari za Ulimwengu | DW | 29.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAGHDAD:Iran kuhudhuria mkutano wa kimataifa juu ya usalama wa Irak

Mjumbe wa kimataifa wa Iran bwana Ali Larijan amewasili mjini Baghdad kuanza ziara ya siku tatu nchini Irak. Bwana Larijan aliwasili leo mjini Baghdad bila ya kutangazwa.

Wakati huo huo imethibitishwa kuwa waziri wa mambo ya nje wa Iran bwana Mottaki atahudhuria mkutano wa kimataifa juu ya usalama wa Irak utakaofanyika nchini Misri mapema mwezi mei.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com