BAGHDAD: Shambulizi limeua polisi 25 nchini Irak | Habari za Ulimwengu | DW | 29.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAGHDAD: Shambulizi limeua polisi 25 nchini Irak

Hadi askari polisi 25 wameuawa nchini Irak katika shambulizi lililofanywa mji wa Bakuba,kiasi ya kilomita 60 kaskazini-mashariki ya mji mkuu Baghdad.Zaidi ya watu 15 wengine pia wamejeruhiwa baada ya mshambulizi aliejitolea maisha muhanga kujiripua mbele ya makao makuu ya polisi ambako polisi walikuwa wakingojea kuingia ndani kuhudhuria mafunzo ya kila siku.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com