BAGHDAD: Shambulizi la gesi ya klorini limeua 3 | Habari za Ulimwengu | DW | 17.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAGHDAD: Shambulizi la gesi ya klorini limeua 3

Nchini Irak watu wasiopungua 6 wameuawa katika shambulio lililotumia gesi ya klorini. Askaripolisi 2 ni miongoni mwa hao waliofariki. Inasemekana kuwa kama watu 350 wamejeruhiwa vile vile.Kwa mujibu wa ripoti ya majeshi ya Marekani,washambulizi 3 waliyojitolea muhanga walijiripua katika magari ya kusafirishia gesi ya klorini.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com