BAGHDAD: Operesheni kubwa dhidi ya washukiwa wa al-Qaeda nchini Iraq | Habari za Ulimwengu | DW | 19.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAGHDAD: Operesheni kubwa dhidi ya washukiwa wa al-Qaeda nchini Iraq

Majeshi ya Marekani nchini Iraq,yamefanya mashambulio makali dhidi ya wanamgambo wanaotuhumiwa kuhusika na mtandao wa kigaidi wa Al-Qaeda.Ripoti zinasema,kama wanajeshi 10,000 wa Kimarekani na Kiiraqi wanashiriki katika operehseni hiyo,ndani na ukingoni mwa mji wa Baguba uliokumbwa na machafuko.
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com