BAGHDAD: Kiongozi wa tawi la Al-Qaeda auawa nchini Irak | Habari za Ulimwengu | DW | 02.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAGHDAD: Kiongozi wa tawi la Al-Qaeda auawa nchini Irak

Jeshi la Marekani limesema kuwa limemuua kiongozi wa tawi la mtandao wa kigaidi Al Qaeda nchini Irak.Kwa mujibu wa wakuu wa kijeshi wa Kimarekani mwanamgambo huyo ni Abu Taha.Inadhaniwa kuwa Taha aliwapenyeza Iraq wapiganaji wa kigeni.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com