1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BAGHDAD: Bush aelekea Australia baada ya kutembelea Irak

4 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBSn

Rais wa Marekani,George W.Bush ameondoka Irak kufuatia ziara yake ya ghafula nchini humo.Baada ya kuvitembelea vikosi vya Kimarekani katika wilaya ya Anbar Bush alisema,mafanikio yaliyopatikana katika wilaya hiyo ambako zamani kulikuwepo umwagaji mkubwa wa damu,ni mfano kwa nchi nzima.