1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bado hakuna mwafaka Mtwara

28 Januari 2013

Kuibuka kwa vurugu katika maeneo ya kusini mwa Tanzania na hasa mkoani Mtwara kumezusha suala kuu la ikiwa nayo Tanzania inatumbukia kwenye mkumbo wa wimbi la umma kuzigeuka serikali zao kwa hasira.

https://p.dw.com/p/17SfF
A detail view of the Russian gas-measuring station 'Sudzha' near the Ukrainian border, Russia, 11 January 2008. European Union (EU) observers arrived at this station to monitor the volume of Russian natural gas shipments through Ukraine. Russian President Dmitry Medvedev on 11 January rescinded an agreement on allowing gas monitors to inspect gas pipelines in Ukraine, citing a violation by Kiev. Medvedev's move has further delayed the resumption of the flow of gas through Ukraine to Europe. EPA/SERGEY DOLZHENKO +++(c) dpa - Bildfunk+++
Medwedew setzt Abkommen über Gas-Kontrolleure außer KraftPicha: picture-alliance / dpa

Wananchi wa mkoa huwa wanadai suala la mtambo wa gesi kujengwa mkoani humo na siyo Dar es Salaam kama ilivyotangazwa na serikali. Taarifa zinaeleza kuwa watu wanane wamekufa kutokana na vurugu hizo. Kufahamu msingi wa ghadhabu za wananchi na athari zake kwa nchi hiyo tulivu kabisa Afrika Mashariki, Grace Kabogo amezungumza na mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Gwandumi Mwakatobe.

(Kusikiliza mahojiano hayo, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)