Babati na juhudi za kutatua tatizo la ajira | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 06.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Babati na juhudi za kutatua tatizo la ajira

Kijiji hiki cha Gidabagar ni miongoni mwa vijiji vingine 33 ambavyo vimefikiwa na mradi wa Strive pamoja unaotekelezwa na Shirika la Worldvision Tanzania, wenye lengo la kupunguza umaskini kupitia mazao ya chakula na nyuki.

Tazama vidio 02:12