1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wananchi wanadai kujua washindi wa udiwani na ubunge

26 Oktoba 2015

Makundi ya wapiga kura yameshuhudiwa katika baadhi ya vituo vya kuhesabia kura jijini Dar es salaam ambapo wamekuwa wakidai kutolewa matokeo ya kura walizopiga ili kupata kujua madiwani wao pamoja na wabunge

https://p.dw.com/p/1Gu6E
Tansania Wahlen
Picha: DW/H. Bihoga

[No title]