Athari za Sheng kwa ukuwaji wa Kiswahili | Masuala ya Jamii | DW | 12.08.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Athari za Sheng kwa ukuwaji wa Kiswahili

Kuwa na lugha inayozungumzwa kwa ufasaha na kufuata kanuni zake zote ndiyo ndoto ya kila taasisi na hata watu binafasi wanaosimamia maendeleo ya lugha hiyo. Lakini je, hivyo ndivyo halisi huko mitaani?

Description of photo: Writing Title: Refugees, defectors, North Korea, South Korea, PSCORE Series title (if there are several pictures about one topic): Korea defectors Keywords: North Korea, education, language lessons, South Korea Photographer/source: Jason Strother When was the photo taken: 2013 Where was the photo taken: Seoul, Korea Caption: For North Korean defectors in South Korea, learning English is one way to catch up in this competitive society Declaration: “I hereby declare that I took this photograph and am giving DW the right to use it online. In case the picture was taken by a third party, I do hold the rights to this image and DW is entitled to use it online.” Hiermit räume ich der Deutschen Welle das Recht ein, das/die von mir bereitgestellte/n Bild/er zeitlich, räumlich und inhaltlich unbeschränkt zu nutzen. Ich versichere, dass ich das/die Bild/er selbst gemacht habe und dass ich die hier übertragenen Rechte nicht bereits einem Dritten zur exklusiven Nutzung eingeräumt habe. Sofern ich das hiermit zugesandte Bild nicht selbst gemacht, sondern von einem Dritten, dem o.g. Fotografen, zugeliefert bekommen habe, versichere ich, dass mir dieser Dritte die zeitlich, räumlich und inhaltlich unbeschränkten Nutzung auf der Internet Plattform DW.DE übertragen hat und mir schriftlich versichert hat, dass er das/die Bild/er selbst gemacht und die Rechte hieran nicht bereits Dritten zur exklusiven Nutzung eingeräumt hat. (Please copy and paste this whole passage for each picture) Your name: Jason Strother (DW Correspondent) Country: South Korea Email: jason.w.strother@gmail.com

Nordkorea Sprachschule

Katika makala hii ya Vijana Mchakamchaka, Amina Abubakar anaangazia lugha inayokuwa kwa kasi sana miongoni mwa vijana nchini Kenya - lugha ya Sheng ambayo ni mchanganyiko Kiswahili, Kiingereza na lugha nyengine za ndani ya nchi hiyo, Je, nini madhara ya matumizi ya mbinu kama hizi katika kuwasiliana?

Makala: Athari za Sheng kwa ukuwaji wa Kiswahili
Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com