1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za mitandao ya kijamii kwa vyombo vya habari

Sylvia Mwehozi
3 Juni 2019

Vyombo vya habari asili vimekuwa vikitegemewa tangu jadi katika kutoa habari, burudani na elimu za namna mbali mbali.akini tangu kuingia kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter, You Tube na Watsapp vyombo vya habari vimejipata katika hali ya kusaidiwa katika kutekeleza majukumu yake. Makala yetu lepo inatuama hapo naye Faiz Musa.

https://p.dw.com/p/3Jf6i