1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za mitandao ya Facebook kuzimika Tanzania

George Njogopa (HON)5 Oktoba 2021

Mawasiliano ya mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram yamerejea tena katika hali yake ya kawaida baada ya kukatika kwa zaidi ya masaa sita hivi. Hata hivyo, ingawa hali ni ya kawaida wakati huu, bado watumiaji wa huduma hiyo wanaendelea kuhisi athari za kukosa mawasiliano hayo ambayo yanachukua sehemu kubwa ya maisha ya kila siku binadamu.

https://p.dw.com/p/41H0Y