1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za mgomo wa kisiasa Pemba

Elizabeth Shoo24 Mei 2016

Mvutano utokanao na tofauti za itikadi kati ya chama tawala CCM na kile cha upinzani CUF unatatiza huduma za kijamii Pemba. Upinzani unapinga kile ambacho unakiita dhuluma ya uchaguzi wa rais 2015.

https://p.dw.com/p/1Itft
Wafuasi wa CUF
Picha: DW/M. Khelef

[No title]