1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za kujenga karibu na "transformer"

5 Februari 2018

Jijini Dar es Salaam, visa vya moto katika transformer za umeme ama mabomba ya gesi vinaongezeka. Licha ya hayo, watu bado wanaendelea kujenga nyumba ama kufanya biashara karibu na maeneo hayo. Nani wa kulaumiwa? Shirika la umeme TANESCO kwa kushindwa kuweka mipaka, wananchi ama serikali?

https://p.dw.com/p/2s91Y