1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asubuhi: Taarifa ya Habari 22.05.2021

V2 / S12S22 Mei 2021

Maisha ya kawaida yaanza kurejea polepole kati ya Israel na Wapalestina siku moja baada ya mpango wa kusitisha mapigano.// Rais wa Marekani Joe Biden asema suluhisho pekee kwa mzozo wa Mashariki ya Kati ni kuundwa mataifa mawili.// Mkuu wa majeshi wa Nigeria afariki kufuatia ajali ya ndege kaskazini mwa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/3tnp6