Assoumani aapishwa rais mpya Komoro | Matukio ya Afrika | DW | 27.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Assoumani aapishwa rais mpya Komoro

Kiongozi wa zamani wa mapinduzi katika visiwa vya Komoro, Azali Assoumani, ameingizwa rasmi kazini. Katika hotuba yake kwa taifa ameahidi kuleta mabadiliko. Mchambuzi Aboubakar Omar atoa tathmini yake.

Sikiliza sauti 02:53

Mahojiano na Aboubakar Omar kutoka Moroni

Sauti na Vidio Kuhusu Mada