1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaAfrika

Asili ya Afrika: Helen Joseph alipinga ubaguzi wa rangi

Yusra Buwayhid
5 Januari 2021

Mapambano ya uhuru nchini Afrika Kusini sayingewezekana bila ya juhudi za wanawake. Mmoja wao ni Helen Joseph. Licha ya kuwa mtu mweupe, alijitolea na kuunga mkono harakati za kumaliza utawala wa kibaguzi nchini humo.

https://p.dw.com/p/3nWTA