Ashgabat, Turkmenistan. Rais aliyefariki azikwa. | Habari za Ulimwengu | DW | 24.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Ashgabat, Turkmenistan. Rais aliyefariki azikwa.

Mazishi ya rais wa Turkmenistan , saparmurat Niyazov , yamefanyika katika mji mkuu Ashgabat.

Kiongozi huyo aliyefariki akiwa na umri wa miaka 66, ambaye aliiongoza nchi hiyo yenye utajiri mkubwa wa gesi ya ardhini katika taifa hilo la Asia ya kati kwa zaidi ya miongo miwili, amefariki ghafla kwa ugonjwa wa moyo siku ya Alhamis.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com