1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

AMISOM wamaliza muda wake wa kuwepo nchini Somalia

31 Oktoba 2012

Ujumbe wa kijeshi wa umoja wa Afrika nchini Somalia ( AMISOM) unamaliza muda wake wa mamlaka ya kuwapo nchini humo hii leo (31.10.2012).

https://p.dw.com/p/16Zsh
Muda wa kuwapo AMISOM Somalia wamalizika.
Muda wa kuwapo AMISOM Somalia wamalizika.Picha: AP

Hatua kubwa imepigwa na ujumbe huo kuweza kulidhibiti kundi linalopigana nchini humo kuidhoofisha serikali ya nchi hiyo inayoungwa mkono na umoja wa Afrika na umoja wa mataifa . Kuna mipango gani basi baada ya muda huo kumalizika? Sekione Kitojo alizungumza na mjumbe maalum wa umoja wa mataifa nchini Somalia Balozi Augustine Mahiga, ambaye alikuwa na haya ya kusema.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi : Sekione Kitojo

Mhariri: Saumu Yusuf