1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Amil Shivji: Kipaji sawa lakini elimu inahitajika katika sanaa ya filamu

Sylvia Mwehozi
17 Septemba 2018

Mtayarishaji wa filamu kutoka Tanzania Amil Shivji amesema wasanii katika tasnia ya filamu Tanzania wanatakiwa kuongeza ujuzi katika fani yao na sio tu kuzingatia kuingiza filamu katika soko bila ya kufahamu filamu hizo zitamsaidiaje mteja au zitaleta matokeo gani katika jamii. Msikilize hapa akisema.

https://p.dw.com/p/3513l