Alianza mitaani tu, sasa yuko RB Leipzig | Media Center | DW | 18.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Alianza mitaani tu, sasa yuko RB Leipzig

Mchezaji wa timu ya taifa ya Guinea Naby Keita ambaye pia anaisakatia kabumbu klabu y RB Leipzig Ujerumani, ametokea familia maskini. Alianza kucheza mpira katika mitaa ya Conakry na watoto wenzake, ila umahiri wake ukamfanya aende Ulaya na sasa hivi ni Nyota mkubwa Afrika.

Tazama vidio 01:33
Sasa moja kwa moja
dakika (0)