1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Akpeteshie: Kinywaji cha kienyeji maarufu Ghana

28 Septemba 2022

Kinyawaji cha Akpeteshie ni kama ukumbusho wa ukakamavu wa Ghana kushikilia baadhi ya tamaduni zao licha ya vizuizi vilivyopo. Wakati mmoja, pombe hiyo ya kienyeji ilipigwa marufuku na Waingereza, lakini leo, ni kinywaji maarufu nchini Ghana. #VijanaMubashara #77Asilimia

https://p.dw.com/p/4HSVO